Tv show

TOURMALINE

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
24
Naomba mawazo yenu, ni jinsi gani naweza kuanzisha tv show mana nina wazo langu zuri ambalo nataka nilianzishie kipindi.
 
Naomba mawazo yenu, ni jinsi gani naweza kuanzisha tv show mana nina wazo langu zuri ambalo nataka nilianzishie kipindi.

tafuta producer na director uanze kazi.
kama ni nzuri unaenda kuuza kwenye TV Station itakotoa dau kubwa. Wape episode ya kwanza wakiipenda unaanza mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…