C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Tv sibuka imekuwa kwa muda mrefu sasa ikiwa inaonyesha movies mida ya usiku hasa saa tano tano
aina ya movies zinazoonyeshwa ni za holywood mara nyingi
fine...
Ila tatizo nililoliona na kushtuka mpaka niamue kuandika thread hii nikiuliza ni aina ya movies wanazoonyesha
tv sibuka imekuwa ikionyesha movies zisizokuwa na mwaka kama sheria ya uonyeshaji wa movies nyingi za holywood zinavyosema
hii inaitwa pirates
mfano sasa hivi wanaonyesha skyfall iliyotoka november
mimi hii naiita wizi kwa kampuni ya sony
juzi tu walionyesha the amazing spirderman ambayo ilitoka kwenye 2012 kati kati
movies hizi kamwe huwezi kukuta tv kama hbo, wb, na star movies ambazo ni mabingwa wa kuonyesha movies wakaonyesha movies
wb tv inaonyesha movies nyingi zilizotengenezwa na kampuni ya wb lakini kamwe kwenye tv yao hawaonyeshi movies ambayo haijazidi mwaka tokea iingie sokoni
swali langu la tcra ni kuwa ina maana hizi sheria za kimataifa hawazijui?
Au wanajua tu wanadili na mambo ya digitali tu vitu kama hivi vya pirates vinavyofanywa na tv ambayo iko chini ya mikono yake haiioni?
Je tv sibuka wanajua wanachokifanya?
Sawa najua wanavutia wateja kwa kuweka movies mpya lakini this is too much ...
Wakiamua ku wa sue wana hela ya kuwapa sony ambao ndio watengenezaji wa "skyfall"