TV4Sale TV star X na king'amuzi cha startimes vinauzwa

TV4Sale TV star X na king'amuzi cha startimes vinauzwa

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Star X 22 nchi
Ina sehemu ya usb port, hdmi, earphone port
Inatumia umeme wa ac na dc hivyo ukiwa na betri ya gari unawasha bila shida au solar.
King'amuzi ni kipya kabisa bt kilipigwa short ya umeme si mnajua tanesco kata washa hivyo utaenda rekebsha kwa fundi
Sababu ya kuuza hasa tv nataka ongezea pesa nkanunue ya 32 inchi hakuna sababu nyingne imetumika miezi 4 na nusu
Mawasiliano 0787 429 104
Dar es salaam mbezi luis.
IMG_20171201_075712.jpg
IMG_20171201_074731.jpg
IMG_20171201_074704.jpg
IMG_20171201_075024.jpg
IMG_20171201_074640.jpg
 
Mwisho kabisa 190 hiyo 180 nmekosea
 
Back
Top Bottom