TV4Sale TV, Subwoofer & Refrigerator kwa 300,000/=

TV4Sale TV, Subwoofer & Refrigerator kwa 300,000/=

Dereva Suka

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
176
Reaction score
289
Refrigerator 100,000/=
TV 100,000/=
Subwoofer 100,000/=

Location Dar,...mtoni Kijichi.
IMG_20170308_122307.jpeg
IMG_20170308_122225.jpeg
IMG_20170308_122334.jpeg


Updates
SOLD
 
Mbona bei ndogo sana nini sababu ya kuuza. Fridge ina umri gani tangu ununue?
 
Picha ya TV kwa nyuma na no inch ngap? Nikitaka na meza unaniuziaje?
 
Haina shida yeyote...nahitaji pesa ya haraka...nipo mtoni Kijichi.
duh tatizo nipo kunduchi huku dah friji yangu imezingua naona uvivu kutengeneza maana hata sijui ina tabu gani tangu niinunue 2009 haijawahi zingua
 
Back
Top Bottom