Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Njoo pmNimeipenda boofer Nina 70000
Nikiwatajia bei kubwa mnalalamika...hiyo ni bei reasonable kwa ajili ya hali ya uchumi kwa kipindi hikiMbona bei ndogo sana nini sababu ya kuuza. Fridge ina umri gani tangu ununue?
Picha ya friji kwa ndani?
Fridge nzima?
Nzima kabisa inagandisha...unaweza ukaijaribu kabla ya kuchukuaFridge nzima?
Usiamini kila kitu unachokionaMbona bei ndogo sana nini sababu ya kuuza. Fridge ina umri gani tangu ununue?
Picha ya TV kwa nyuma na no inch ngap? Nikitaka na meza unaniuziaje?
Hiz bei zishafanyiwa punguzo hadi mwisho...Bei zipo fixed.Refrigerator 100,000/=
TV 100,000/=
Subwoofer 100,000/=
Location Dar,...mtoni Kijichi.View attachment 478041View attachment 478042View attachment 478043
mmmh friji laki moja? ina friza uko wapi wewe haina shida yyote?Refrigerator 100,000/=
TV 100,000/=
Subwoofer 100,000/=
Location Dar,...mtoni Kijichi.View attachment 478041View attachment 478042View attachment 478043
Haina shida yeyote...nahitaji pesa ya haraka...nipo mtoni Kijichi.mmmh friji laki moja? ina friza uko wapi wewe haina shida yyote?
duh tatizo nipo kunduchi huku dah friji yangu imezingua naona uvivu kutengeneza maana hata sijui ina tabu gani tangu niinunue 2009 haijawahi zinguaHaina shida yeyote...nahitaji pesa ya haraka...nipo mtoni Kijichi.