Tv Talk Shows za Kibongo

Tv Talk Shows za Kibongo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni fasheni mpya na inayokuja kwa kasi Tanzania japo ulaya na kwingineko ishakuwa zilipendwa
Ziangalie kwa makini zinafanana na zote zina mapungufu yanayofanana
Lakini kubwa zaidi wamiliki wake wana historia za kuwa stressed stranded na broken hearts .karibia wote wana elements aidha za superiority au inferiority complex. Backgrounds history zao zikiwa zimebeba mambo mabaya kuliko mema
Angalia hapa chini halafu mtafakaro kila mmoja

1: Lady Jaydee. Lady Jaydee diaries

2:Wema sepetu.In my shoes

3:Joyce kiria. Wanawake live

4:Mboni. Mboni show

5:Salama jabir.Mkasi

Na wengine wote ambao sijawataja
 
Mkasi na diary ya lady jaydee na wanawake live
 
Hivi hizo nyekundu hapo ni talk shows?????
Naomba msaada wangu mkuu
 
Mtoa mada hajui tofauti ya Reality television series na Tv talk show.

Kipind cha wema na lady jay d ni reality television series na mkasi, wanawake live ni tv talk show
 
sijui onaongea nini wewe? talk show unafananisha na reality show ya wema n jay dee..kabla hujaandika fikiria kwanza sio mpaka wote humu tuandike tuwaachie wajuzi warumi
 
elimu haina mwisho ila angalia hiyo post niliipost saa ngapi nisamehe bure viroba vikikata medula oblangata inaovercharge
 
sijui onaongea nini wewe? talk show unafananisha na reality show ya wema n jay dee..kabla hujaandika fikiria kwanza sio mpaka wote humu tuandike tuwaachie wajuzi warumi
kiruuu usitoe povu basi rekebisha unapoona pamekosewa post yenyewe ya usiku wa manane na matisa na makumi lazima kuwe na mapungufu
 
Mi napenda wanawake live na kipindi cha mikasi na cha Hoyce Temu
 
Back
Top Bottom