jaman napenda mkasi da salama big up
Ni fasheni mpya na inayokuja kwa kasi Tanzania japo ulaya na kwingineko ishakuwa zilipendwa
Ziangalie kwa makini zinafanana na zote zina mapungufu yanayofanana
Lakini kubwa zaidi wamiliki wake wana historia za kuwa stressed stranded na broken hearts .karibia wote wana elements aidha za superiority au inferiority complex. Backgrounds history zao zikiwa zimebeba mambo mabaya kuliko mema
Angalia hapa chini halafu mtafakaro kila mmoja
1: Lady Jaydee. Lady Jaydee diaries
2:Wema sepetu.In my shoes
3:Joyce kiria. Wanawake live
4:Mboni. Mboni show
5:Salama jabir.Mkasi
Na wengine wote ambao sijawataja
Hivi hizo nyekundu hapo ni talk shows?????
Naomba msaada wangu mkuu
Hata me na shangaa hivi diary ya jay dee inafanana na Oprah show smh!
Ieleweke tu nilikuwa namaaanisha nini
Mtoa mada hajui tofauti ya Reality television series na Tv talk show.
Kipind cha wema na lady jay d ni reality television series na mkasi, wanawake live ni tv talk show
kiruuu usitoe povu basi rekebisha unapoona pamekosewa post yenyewe ya usiku wa manane na matisa na makumi lazima kuwe na mapungufusijui onaongea nini wewe? talk show unafananisha na reality show ya wema n jay dee..kabla hujaandika fikiria kwanza sio mpaka wote humu tuandike tuwaachie wajuzi warumi
Hivi hizo nyekundu hapo ni talk shows?????
Naomba msaada wangu mkuu