TV Tuner card drivers

adventure

Member
Joined
Apr 20, 2009
Posts
17
Reaction score
0
Nina External TV tuner card (pixelview model no.: pv-nt1004+) na nimepoteza cd ya drivers nimejaribu kupekua pekua kwenye mitandao nimekwama hivyo naomba msaana wenu wana JF....
 
Una karibishwa mkuu....Sijapata jibu toka kwa Adventure,kama amefanikiwa au la?
 
Adventure,kama amefanikiwa au la?
Nashukuru sana, nimefanikiwa ila ninaombi lingine je unaweza kunisaidi kupata driver za Easy TV capture nimejaribu kuangalia model yake siioni..

asante sana
 
Last edited:
Mkuu, itakuwa vigumu sana kuweza kukutafutia hizo driver pasipo kujua model # ya hiyo TV Tuner yako. Vipi hiyo computer yenye tv tuner imeunganishwa na internet?
 
Mkuu, itakuwa vigumu sana kuweza kukutafutia hizo driver pasipo kujua model # ya hiyo TV Tuner yako. Vipi hiyo computer yenye tv tuner imeunganishwa na internet?
Mkuu haijaunganishwa na internet ila nimejaribu kuangalia kwenye chip zake nimeona imeadikwa hivi: conexant,fusion 878A,25878-13,0504y1d8,0504
sina uhakika sana kama inaweza kuwa ndiyo model yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…