TV ya Samsung nchi 50 Sasa inatumia umeme mwingi msaada suluhisho la hili tatizo

TV ya Samsung nchi 50 Sasa inatumia umeme mwingi msaada suluhisho la hili tatizo

Habari. Peleka kwa fundi. Inaweza kuwa na tatizo kwenye Power Factor Correction(PFC) ya power supply, au tatizo la Short Circuit(SC) kwenye mojawapo ya modules zingine za TV.
 
Back
Top Bottom