Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Baada ya kufungiwa kanisa, hana pa kusali, mtu huyo bado anarusha tv yake ya toplus (ipo azam tv). inawezekana amejirekebisha lakini tunaomba TCRA muwe macho dhidi ya huyu mtu. ni hatari kwasababu akimaliza kwa wakristo atamaliza kwa waislam na atachafua kabisa hili taifa.
1. alisema BIBLIA ni kitabu cha kutupa,
2. anawasapoti mashoga na anaimba ushoga
3. alisema amri 10 ni ushenzi
4. anataka watu wanywe pombe wapendavyo,
5. ana night club inayosapoti ujinga mtupu.
6. yule msukuma mwenye masikio naye afuatiliwe
7.ndiye mmiliki wa grace products, mafuta, sabuni na shampoo zinazotengenezwa kienyeji na watu wasioenda shule, na hatujui namna vinavyowaathiri watumiaji. tbs pia ichunguzwe kama ilithibitisha kweli kuwa products zake ni salama. kama mtu anaweza kusapoti ushoga na kutukana Biblia, anashindwaje kujiunga na freemason kwenye bidhaa zake ili watakaozitumia waathirike polepole? think about it.
Kwa sisi ambao huwa tunaenda mahakamani, kosa kubwa analofanya kwa kutukana Biblia ni s.89 PENAL CODE, analeta maneno ya maudhi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani kwa wafuasi wa hiyo Biblia. kama yule aliyesema Yesu si Mungu kule morogoro alishitakiwa, huyu pia ashitakiwe. pia achunguzwe wapi anatoa pesa za kuendesha tv.