TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

auferet dominus

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,804
Reaction score
1,292
Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii.

Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
 
Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii. Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
Mkuu, hela ya KIOO ni Tshs laki mbili pamoja na ufundi. Wasalimie mafundi ukifika.
 
Inaweza ikawa haina viwango vizuri, hili ni tatizo kwa TBS kushindwa kuthibiti ubora wa bidhaa zinazoingizwa nchini hatua ambayo inapelekea mchina kujaza takataka kwenye soko, TBS amkeni huko mliko lala....
 
Flat screen ni majanga yangu nilitumia miaka minne tu imepoteza picha imebaki sauti tu, Videoconv 32 inch
 
Sasa ndio kusema hakuna hata fundi mmoja aliyeona huu uzi ili aseme nimpelekee hela
 
Inaweza kuwa imekufaa taa za kwenye kioo
 
Back
Top Bottom