auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii. Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
Mkuu, hela ya KIOO ni Tshs laki mbili pamoja na ufundi. Wasalimie mafundi ukifika.Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii. Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
Asante kwa dokezo zuriMkuu, hela ya KIOO ni Tshs laki mbili pamoja na ufundi. Wasalimie mafundi ukifika.
Clip ipo ila sijui namna ya kuipandishaMkuu weka picha!
Mkuu weka picha!
Jamaa anasema rangi unasema kioo duMkuu, hela ya KIOO ni Tshs laki mbili pamoja na ufundi. Wasalimie mafundi ukifika.
Ukiweka picture au video clip tutajua tatizo ni nini ila vinginevyo ni ramliSasa ndio kusema hakuna hata fundi mmoja aliyeona huu uzi ili aseme nimpelekee hela
Hii shida ipo kwenye kampuni zote. Backlight na T-con faults ni janga kwenye technologia ya flat screen ila muhimu ni kuuliza kama kampuni husika ina service center hapa bongo na hakikisha unajaza warranty kadi.Muangalie na majina ya tv wakati wa kununua
📺Mkuu weka picha!
Sasa mkuu miaka 4 unaona haijalipa? Aaah Acha hizoFlat screen ni majanga yangu nilitumia miaka minne tu imepoteza picha imebaki sauti tu, Videoconv 32 inch
Unaifahamu Grundig? Je ni jina kubwa au dogo? Mbona na yenyewe ina kasoro hizo?Muangalie na majina ya tv wakati wa kununua
Hizi ndiyo ramli,ikifa back light asingeona hata pichaInaweza kuwa imekufaa taa za kwenye kioo