TV yangu (TCL) ilipata hitilafu ya kioo kupata wingu linalokera

TV yangu (TCL) ilipata hitilafu ya kioo kupata wingu linalokera

Joined
Jan 28, 2022
Posts
42
Reaction score
43
Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana

Mafundi, je lina utatuzi?

20221208_153304.jpg
 
Achana nayo, tafuta noti chukua nchi 32 kuendelea, hakuna usumbufu
 
Back
Top Bottom