nyemenowa tindamanyile Member Joined Jan 28, 2022 Posts 42 Reaction score 43 Jan 24, 2023 #1 Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana Mafundi, je lina utatuzi?
Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana Mafundi, je lina utatuzi?
mshale21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 2,126 Reaction score 5,068 Jan 24, 2023 #2 Achana nayo, tafuta noti chukua nchi 32 kuendelea, hakuna usumbufu
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jan 25, 2023 #3 Tafuta hela ununue Samsung