Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari yako ss tunaifaham?? Nyoosha maelezo ili uweze kueleweka na kusaidiwa au shauriwa yaani unaongea au elezea matatizo yako utafikiri unamwelezea mkeo au mwanao..
Utambulisho wa gari huwa hivi
Make........
Model.......
Au kama vipi ww taja tu chasis number coz yenyewe ndio kila kitu..
Mkuu huna haja ya kusema ni gari ya aina gani redio ni redio tu..Msaada wapendwa chakufanya TV yangu ya gari nikiweka video ina play halafu inaniletea message kama hii:
THE SAKE OF SAFETY, DRIVING BAN VIDEO.
Naomba kama kuna mtu aliwai kukutana na ujumbe kama huo anisaidie jinsi alivyofanya

Ushauza gari yako mkuu?Utakua Uliplay video ya PILAU ukiendesha HIGHWAY
Hiyo ni kawaida kwa baadhi ya gari,kama mimi nikiwasha gari nikaweka DVD naangalia vizuri,ila nikitoa footbrake tu inakata picha inabakiza audio,nikisimama na kupaki inarudisha videoMsaada wapendwa chakufanya TV yangu ya gari nikiweka video ina play halafu inaniletea message kama hii:
THE SAKE OF SAFETY, DRIVING BAN VIDEO.
Naomba kama kuna mtu aliwai kukutana na ujumbe kama huo anisaidie jinsi alivyofanya
UlifanyejeNawashukuru wote nilifanikiwa.