francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
wana jf poleni na mihangaiko ya maisha nilikuwa naomba kuuliza izi tv za home tech ubora wake upo vipi maana uwezo wa kugharamia samsung, LG wengine huo uwezo hatuna nilikuwa naomba kujuzwa ubora wa hizi tv upo vip
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app