TV1

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,477
Reaction score
1,138
wafanyakazi wa tv1 wanafanyakaz kazi gani?maana sioni zaidi ya vipind vinne tu kwa siku nzima muda mwingine uliobaki ni kfs sasa wanapoteza wateja watazamaji sababu wengi wetu tulipenda vipindi ambapo kwa sasa havioneshwi kama vile nafsi.
 
Bora uulze wewe Naiona kama imekua sports channel tu amana kngne
 
wafanyakazi wa tv1 wanafanyakaz kazi gani?maana sioni zaidi ya vipind vinne tu kwa siku nzima muda mwingine uliobaki ni kfs sasa wanapoteza wateja watazamaji sababu wengi wetu tulipenda vipindi ambapo kwa sasa havioneshwi kama vile nafsi.
Tuliza akili afu uandike taratibu... una speed sana... tema unachotafuna
 
Sure natamani nijue nini kimeikumba hii station....mwenye ubuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…