TVE Hivi wana tatizo na WCB.

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
911
Reaction score
862
Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays
Kituo hiki kina top 30 kila siku kuanzia 20:00 mpaka 23:00 lakini ndani yake hakuna nyimbo za hawa jamaa
 
Ngada style, ni walewale, vita na mlezi wa wcb. Hovyo kabisa huyo Dir wao. wcb najua ni lebo kubwa.
 
Hakuna tatizo lolote diamond alisema hategemi radio na tv kusambaza music wa WCB. Anasema wanatumia sana social network sana akoangeza kuwa zile zama za media house kumshusha msanii hazipo tena kwa sababu ya social network.
 
Kwani Diamond si kasema kwa sasa hataki tena mambo ya Tv/Radio au sikumuelewa vizuri? Halafu Uhuru tv na Tbc si wanarusha sana hizo ngoma zao?
 
Kwani ni lazima wapige nyimbo zao,km vp washauri hao wcb waanzishe tv yao wapige nyimbo zao tu
 
Hao jamaa wa efm na etv mwanzoni niliona ni watu wa maana ila kumbe ni wapumbavu sana. Wanapenda makundi vita zisizo na kichwa wala miguu watawekeza sana ila hawatatoboa.
Huyo majizo muuza ngada wala hata hajielewi, zaidi ya kuvmia gharama kubwa kuweka mitambo na kutumia gharama kubwa kujipromote lakini hawana kipya wala ubunifu wowote wa kutoa - wamebakiza majungu, umbeya na udaku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…