Acha Us*nge uende Mbinguni. Mapovu ya nini hiki kituo hakipigi kabisa nyimbo za WCB hata leo hawajapigaMnafiki na mchonganishi mkubwa leo tu nimeona wcb mara mbili au unataka kipindi kizima? Fungua yako uwarushe 24/7 nyambafu who is wcb?, Wee mkubwa fela nini mnajiona wafalme wa Bongo flava? Kampangie mkeo sio biashara za watu
Nlichokiongea namaanisha na huo ndio ukweli. Lakini ukweli utabaki pale WCB wananyimbo zaidi ya moja znazopaswa kuwepo top 30 ukweli acha usemwe bintihuu nao ni ujinga mkumbwa kuanza kuwagombanisha wasanii na vituo vya radio kwa manufaa yenu.... Nyimbo kutokuwepo top 30 ndio ugomvi? hivi ni nyimbo ya kila msanii hapa Tanzania ipo kwenye hiyo top 30.
Ushabiki wa kijinga na kuchonganisha watu hauna maana na wala haujengi kamwe...
Mimi hiyo Tv na angalia sana haiwezi pita siku nyimbo za WCB hazijapigwa...yani nyimbo kutokuwepo Top 30 ndio uwe ni ugomvi? Mnapowagombanisha wasanii na vituo vya burudani mkae mkijua wanashindwa ni wasanii maana wenye vituo hawana la kupoteza...
Acheni tabia za kitoto.
mashabiki wa aina hii ndio husababisha malumbano kati ya wasanii na vituo vya radio na wajua fika kabisa wasanii wao hawawezi kushindaSio kweli, yaani video za Diamond , Harmonize , Rayvany, na wasafi wote zinapigwa balaa .
Kuna watu mmekalia kuchonganisha ,hata etv mlisema hawapigi nyimbo wasafi wakati video zinachezwa kama kawaida
afrika acha iendelee kuitwa bara giza kwa komenti hiiHao jamaa wa efm na etv mwanzoni niliona ni watu wa maana ila kumbe ni wapumbavu sana. Wanapenda makundi vita zisizo na kichwa wala miguu watawekeza sana ila hawatatoboa.
Akili umejaa mucous so sizani kama unaweza uka reason vzrHAO WCB WANA NGOMA GANI KALI YA KUTEKA MASKIO YA WATU MPAKA IPIGIWE KURA IWE KWENYE TOP 30?
usiwapangie watazamaji wanaochagua
Wabongo kwa kugeuza kauli hamjambo na ww umekaa chini kabisa uka umiza vdole kuandika izo pumbaHakuna tatizo. Kiongozi wao Diamond si alisema mitandao ya kijamii ndio inatosha kutangaza kazi zao!? Zitachezwa huko huko mitandaoni. Au alijiangalia yeye mwenyewe akawasahau wasanii Wa label yake!? Kweli sikio halizidi kichwa.
Wabongo kwa kugeuza kauli hamjambo na ww umekaa chini kabisa uka umiza vdole kuandika izo pumba
Nadhan hujamwelewa mwaFreeca wewe ndio naona huwezi reason kabisa inaonekana ukiangalia hicho kpind cha TVE unaegemea upande mmoja industry ni kubwa majaji ni wengi and all in all uliwapigia kura wale unaowatetea au we Bendera fuata upepoAkili umejaa mucous so sizani kama unaweza uka reason vzr
NgugiAchebe yaan itabidi tumtumbue mlezi maana sio kwa kutuchafulia lebo yetuMimi ni shabiki WA wcb Mkubwa ila yule mlezi anaharibu taswira ya wcb kwa kweli
Unafaa kupuzwa kilaza ww....Jifunze kwanza kuandika vizuri, sawa!? Kama umeona nilichoandika ni pumba bila shaka wewe ni mmoja kati ya mifugo ilayo pumba. Naotea wewe utakuwa kuku. Usisahau kumwambia bosi wako Wa wcb kuwa asitukane mamba na mto hajavuka.
Sioni nyimbo za wcb pale tokea wazinguane na makonda pia manfongo hawampigi.Hivi hao tv e wanapigana na nani? hivi mnafikri hiyo tv mnaangalia peke yenu? mbona nyimbo za Diamond wanapiga na hao wcb?