Maulid jnr
Member
- Mar 25, 2021
- 66
- 60
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125(used),iko dar es salaam kijichi. Bado iko vizuuri sanaa,injini haimjui fundi, full documents,na bado ina bima.
Bei ni 1450,000 (mazungumzo yapo) ukihitaji nicheki kwa namba hii 0783150130. Asante
Bei ni 1450,000 (mazungumzo yapo) ukihitaji nicheki kwa namba hii 0783150130. Asante