Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,527 Jun 9, 2020 #1 Habarini Wanajamvi. Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs). 1. Smart 2. Smart uhd 4k 3. Smart Android Uhd 4k Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango wako utanifaa Mkuu
Habarini Wanajamvi. Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs). 1. Smart 2. Smart uhd 4k 3. Smart Android Uhd 4k Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango wako utanifaa Mkuu