habar wanajamvi, Tumefikia 99.54576788887% kuumalza mwak , Tuombean afya njema sasa na baadae tukiwa hai
Nauhitaji wa pikpk tvs 150cc Hlx /used sina ela ya kununua mpya hilo ndilo chaguo langu la kwanza pia hakikisha bei ziwe za ki January
Njoo na bei isiyovuka 900,000/-
Mali iwe dar , nje ya dar usumbufu utakuw juu yak
+255 713 836 603