Wakunyuti JF-Expert Member Joined Feb 11, 2008 Posts 380 Reaction score 13 Mar 28, 2008 #21 mimi invisible bado naona ni kubwa..halafu kwanini waige KBC?? mi naona iyo ya msema ovyo imetulia zaidi...bora
mimi invisible bado naona ni kubwa..halafu kwanini waige KBC?? mi naona iyo ya msema ovyo imetulia zaidi...bora
Injinia JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 849 Reaction score 28 Mar 28, 2008 #22 Jamani mmeliona lile li-sticker la background kwenye taarifa ya habari? Wameshindwa kuibandika bila ile mikunjokunjo? Mh, aibu! Shy hebu fikisha ujumbe. Mnafanya kazi nzuri lakini mnaharibu kwa vijimambo vidogovidogo
Jamani mmeliona lile li-sticker la background kwenye taarifa ya habari? Wameshindwa kuibandika bila ile mikunjokunjo? Mh, aibu! Shy hebu fikisha ujumbe. Mnafanya kazi nzuri lakini mnaharibu kwa vijimambo vidogovidogo