Twaha Mwaipaya apata dhamana

Twaha Mwaipaya apata dhamana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.

Mwaipa.JPG
 
Ameachiwa Kwa mbinde usiku huu kwa Masharti ya kuwa na wadhamini wawili , hata hivyo anatakiwa kuripoti tena polisi tarehe 8/7/2022.

Tulishasema tangu awali kwamba Polisi haina hata sababu moja ya ukweli ya kukamata vijana wa Chadema , oneni wenyewe , unamkamata kijana wa watu unamzungusha mavituo yoooote , tena kwa gharama ya serikali , halafu unamuachia bila hata kumpeleka mahakamani!

Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga kelele kila mahali hadi watesaji wakaona Aibu na kumwachia , LEO NI MWAIPAYA, JUZI NI MO, KESHO NI WEWE, ni lazima tushirikiane kupinga Uharamia.
 
CHADEMA wabana mamlaka husika kwa A Writ of habeas corpus kupitia shauri Misc. Criminal Application number 25/2022

habeas corpus
Hii ni kuhakikisha mambo yanaenda inavyotakiwa kwa mtuhimiwa aletwe mahakamani na kama inashindikana basi hata mwili wa mtuhumiwa uletwe ijulikane moja na taratibu zifuate mtuhumiwa kufunguliwa mashtaka n.k
 
Ameachiwa Kwa mbinde usiku huu kwa Masharti ya kuwa na wadhamini wawili , hata hivyo anatakiwa kuripoti tena polisi tarehe 8/7/2022 .

Tulishasema tangu awali kwamba Polisi haina hata sababu moja ya ukweli ya kukamata vijana wa Chadema , oneni wenyewe , unamkamata kijana wa watu unamzungusha mavituo yoooote , tena kwa gharama ya serikali , halafu unamuachia bila hata kumpeleka mahakamani !

Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga kelele kila mahali hadi watesaji wakaona Aibu na kumwachia , LEO NI MWAIPAYA , JUZI NI MO , KESHO NI WEWE , ni lazima tushirikiane kupinga Uharamia .
siro you are going to church?YET YOU DONT DESERVE BEING AN igp
 
Baada ya hapo ataripoti polisi mara mbili tatu then mchezo umekwisha, next time atakamatwa mwingine tena, atafichwa then baada ya kelele wamtoe kwa dhamana nae akaripoti kituoni....
 
Ameachiwa Kwa mbinde usiku huu kwa Masharti ya kuwa na wadhamini wawili , hata hivyo anatakiwa kuripoti tena polisi tarehe 8/7/2022 .

Tulishasema tangu awali kwamba Polisi haina hata sababu moja ya ukweli ya kukamata vijana wa Chadema , oneni wenyewe , unamkamata kijana wa watu unamzungusha mavituo yoooote , tena kwa gharama ya serikali , halafu unamuachia bila hata kumpeleka mahakamani !

Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga kelele kila mahali hadi watesaji wakaona Aibu na kumwachia , LEO NI MWAIPAYA , JUZI NI MO , KESHO NI WEWE , ni lazima tushirikiane kupinga Uharamia .
Mwaipaya kwanza pole sana, pili nakuomba useme madhira uliyopitia kwa siku zote hizi. Dunia ijue unyama wa CCM/Samia na polisi Tanzania
 
Back
Top Bottom