Twaha Mwaipaya: Mara nyingi Chadema tumewaambia TLS mchagueni Fulani Wakatukubalia Leo Na Wao wanatuambia tumchague Lisu, kwanini tukatae?

Twaha Mwaipaya: Mara nyingi Chadema tumewaambia TLS mchagueni Fulani Wakatukubalia Leo Na Wao wanatuambia tumchague Lisu, kwanini tukatae?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Halima Chadema moto unawaka 🔥

Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X

TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini

Ahsanteni sana 😄
Screenshot 2024-12-26 102639.png
 
Huu uchaguzi umetuvua nguo sana chadema na jinsi tuliyo wanafiki. TLS wametoa endorsement yao kwa Lissu wanaonekana wahuni ilihali hata Mwabukusi alikua endorsed na chadema hadi kushinda.
 
Unaikumbuka Bavicha ya Zitto Kabwe na Bavicha ya John Heche? 😂😂😂

Sasa hivi Bavicha ni kama haipo yaani huyu Twaha Mwaipaya ndio amekuwa kama mwenyekiti anajitahidi peke yake

Pambalu anafanya siasa za kistaharabu pia mazingira ya akina Heche na Zitto hauwezi kufananisha na sasa hivi
 
Halima Chadema moto unawaka 🔥

Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X

TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini

Ahsanteni sana 😄
View attachment 3185373
Nafikiri hii ndiyo iliyosababisha huyu aonekane hajakomaa kisiasa kuwa kamati kuu ya CDM!
TLS ndo iamue nani awe mwkt wa CDM?
 
Back
Top Bottom