johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Soka alitaka kugombea Uenyekiti wa Bavicha πΌDon't shake ur plate - Kijana Pambalu yeye kaamua kukaa kimya
Kwanini kakaa kimya?Don't shake ur plate - Kijana Pambalu yeye kaamua kukaa kimya
Huu sasa umbea mzee Mgaya.Soka alitaka kugombea Uenyekiti wa Bavicha πΌ
Wamesema Jana Kwenye Birthday yake bwasheeHuu sasa umbea mzee Mgaya.
Pambalu Kijana ametulia Sana na yupo na hekima.Wamesema Jana Kwenye Birthday yake bwashee
Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso π
Ndio sababu Bavicha imezubaa πPambalu Kijana ametulia Sana na yupo na hekima.
Ndio sababu Bavicha imezubaa π
Unaikumbuka Bavicha ya Zitto Kabwe na Bavicha ya John Heche? πππImezubaa kivipi ? Mzee Mgaya
Unaikumbuka Bavicha ya Zitto Kabwe na Bavicha ya John Heche? πππ
Sasa hivi Bavicha ni kama haipo yaani huyu Twaha Mwaipaya ndio amekuwa kama mwenyekiti anajitahidi peke yake
Bavicha ya sasa inamhitaji mtu kama Soka na George Sanga πPambalu anafanya siasa za kistaharabu pia mazingira ya akina Heche na Zitto hauwezi kufananisha na sasa hivi
Shida hiiHalima Chadema moto unawaka π₯
Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X
TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini
Ahsanteni sana π
View attachment 3185373
Nafikiri hii ndiyo iliyosababisha huyu aonekane hajakomaa kisiasa kuwa kamati kuu ya CDM!Halima Chadema moto unawaka π₯
Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X
TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini
Ahsanteni sana π
View attachment 3185373