Twanga Pepeta/Muumini?

Katabazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2007
Posts
353
Reaction score
22
Wapenzi wa hawa ndugu,kuna mtu anajua kama watatumbuiza wapi weekend hii au mwezi mtukufu wamefunga?
Kt.
 
Kwani dini iko moja au kana kwamba wengine wakifunga wengine starehe NO au ndio kusema wenzetu ndio wapenda starehe kuliko wengine ila muumini mmmmmm,twanga nenda vijana mwananyamala
 
Kwani dini iko moja au kana kwamba wengine wakifunga wengine starehe NO au ndio kusema wenzetu ndio wapenda starehe kuliko wengine ila muumini mmmmmm,twanga nenda vijana mwananyamala.
Nawashukuru sana kwa majibu yenu,aaah bwana akilini ilikuwa kama niko Pemba.Jamani kama kuna wapenzi ambao hawakufunga wani PM tukalisikate weekend hii, nasikia kuna style ya kisigino au visigino-entrance fee kwangu/uwezo wangu watu 3.
 

kwa hapo lazima utukamate sisi vitegemezi,,,, nakuunga mkono kwa hili
 
elizabeth john

elizabeth john has no status.
Junior Member
Join Date: Tue Aug 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0



elizabeth john

elizabeth john has no status.
Junior Member
Join Date: Tue Aug 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0



Re: Twanga Pepeta/Muumini?
please mayi get gosple songs

Join Date: Tue Aug 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0


KARIBU SANA ELIZABETH!naomba nikufundishe kutuma pm kama hutojali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…