TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

Hii ni habari mbaya sana kwa wale chawa
 
Naamini utafiti mwingine ukifanyika sasa na hao Twaweza wakaacha uoga wa kulazimisha kumfurahisha bosi wao basi asilimia za wanaoitaka Katiba Mpya zitakuwa zimeongezeka.
Mimi hawajaniuliza ninataka Katiba mpya.
 
Hawa wameshahongwa na mabeberu wa USAID
 
Wenge la katiba mpya👇🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Washaanza tafiti za mchongo maana waliosuka hiyo tafiti tunawajua sababu ilitakiwa iwe kila wapinzani watatu wawili wanataka katiba mpya.
 
Washaanza tafiti za mchongo maana waliosuka hiyo tafiti tunawajua sababu ilitakiwa iwe kila wapinzani watatu wawili wanataka katiba mpya.
Kwanini hutaki katiba mpya..tuongee ki uhalisia..tuache propaganda na njaa za ubongo..tuje kwenye reality.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa Mbowe mmekuwa kama vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata kama mnalipwa lakini duh hali tete
Unaikumbuka hii , mfuasi wa ccm baada kuaga mwili wa mpendwa wake jiwe akazimia , ila akashikilia mfuko wake wa Satto !

Ila sijaona chama Cha kumbukumbu Kama ccm mchakato wa katiba waliuanzisha wao wakausimamia wao walipoona ohooo hii katiba itatuchinja wenyewe wakalitelekeza jangwani.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Washaanza tafiti za mchongo maana waliosuka hiyo tafiti tunawajua sababu ilitakiwa iwe kila wapinzani watatu wawili wanataka katiba mpya.
Tuache mob psychology,katiba iliyopo we imekuathiri kitu gani ukiachana na hao wenye kutaka madaraka ili hiyo katiba mpya iwarahisishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…