Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Ni yeye nimeikagua hiyo account imejaa

Picha za Kikwete, Assas, Samia kuanzia mwaka 2015

Nyuma ya hapo jamaa alikuwa ni punga
Mtandao ni mbaya sana. Ona sasa tabia yake ya ufiraji imewekwa upenuni 😁

Kwani hakujua kwamba ameposti ujinga miaka ya nyuma?

Uzembe wa hali ya juu anamuaibisha mama ake. Angefutaaa anajisahau sanaaaa yuko bize na mabunduki tu huku chupi iko wazi.
 
Nikiona Punga namjua bila kuambiwa, nilikuwaga sijapata ushahidi wa kutosha tu

Niliamua kutunza hii picha kama mtu akisema sio account yake niiweke
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…