Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Kwani kamtifua mtu kwa kumlazimisha?
 
Comment zako zinachekesha mno dar[emoji23]
 
System nzima isha collapse mkuu. Hakuna professionalism tena.

CCM walaaniwe. Wameiua Tanzania 😢
Ukiona hawa vijana wana magari ya bei kali huku wakiwa machawa unajiuliza wanapataje hizi gari. Ndo mambo haya sasa.

Mtu akitekwa anarudi anasimulia amefanyiwa vitendo siyo…Kumbe ushaidi wa mambo ndugu yetu upo wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…