Twende 2021 na ujenzi wa mashimo ya vyoo na nyumba .

Mkuu izo Sept tank, zinakuwa na matatizo ya kuziba mara kwa mara sababu ya uhaba wa maji katika kuchakata kinyesi..
 
Mkuu izo Sept tank, zinakuwa na matatizo ya kuziba mara kwa mara sababu ya uhaba wa maji katika kuchakata kinyesi..
Unacho Seema no kweli hasa chemba ya jikoni. Sululisho no kumwaga maji ya mato Kila baada ya siku 3
 
Kuchafuka haina maana kwamba wewe ni mahiri wa kupiga plasta. Tofauti yako na mtoto anayechezea tope ni nini?
Ni cement na huwezi fua nguo za site Kila siku. Kuna nguo za site na nyumbani Jambo jingine jifunze kuwa na lugha ya kiungwana.
 
Wanswa kama wanswa na picha umeweka kabisa,
 
Arovera niogope nn mpaka nishindwe kuweka picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…