Kwani tunaenda wapi?! Kwanza.Twende kaka twende
Maskio ka uyoga
Bichwa ka fenesi
Tumbo ka kiroba cha pumba
Domo ka kitumbua
Ushuzi ka honi ya treni la kwenda pugu kajiungeni
Acha uongo wee nani alikuambia mafuta ya bunduki ni meusiWeusi kama mafuta ya bunduki
Mnya ndo nini mkuuSura kama una mnya
Eti huu nao ni uzi...Duu huku wapi nimeingia [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aja kubwa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo wee nani alikuambia mafuta ya bunduki ni meusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo wee nani alikuambia mafuta ya bunduki ni meusi