Twende mbele na kurudi nyuma, Tanzania kuna wanawake wakali

Ile picha inafanya watu kutetema...sasa pale ukigusa pagumuu km ukuta...pale mwanamke timilifu active asiye na waa hahitaji masuala ya romance🙊..huo muda wa kufanya maromance unautumia kwa masuala mengine😂😂

Hahahahaha yaalaah usemacho ni kweli kabisa mdogo wangu.

Kivazi nilichovaa leo ni uchokozi mtupu hahahahhhaaa itabidi nivae miwani yangu ya tint leo nikodolee jinsi maeneo yanavyoumuka bila hamira 😜😜😜😅

Kasie Matata.
 
HIZO PICHA 2 TOKA MWISHO SIWAPENDAGI MAANA WAMEPITA CHINA OPERATIONS
NI KWELI WENGI WAZURI WAPO TZ
KAMA DADAKO PENNY HAPA
AU SIO HONEY 50thebe ?

Honey Money Penny

Takwimu zinaonesha ya Tanzania Luna wanawake karibu milioni 30. Humu kukosa mwanamke mrembo, mwenye haiba na huba itakuwa ni mwanaume mwenyewe hajielewi. Basi. Yaani mpaka Prof Kapuya anakamata chombo maridadi kule Urambo halafu isiwezekane? Maajabu hayo.
 
Ni kweli mkuu tumebarikiwa bongo, nipo Uganda nmekuja for one week, madem karibia wote weusi, shapeless ni kutafuta kwa torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…