Twende mbele na kurudi nyuma

Twende mbele na kurudi nyuma

bolivia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
3,083
Reaction score
5,179
Twende mbele na kurudi nyuma kipi bora
Kati ya kunywa soda moja kwa wiki, na Kunywa Bia nyingi kila baada ya siku ki afya ipi ni

Ni njia sahihi ya kuimarisha Afya
Nipo sehemu muda namsubiri mwakinyo
Azichape.
DSC_0400.JPG
 
Naona soda aina madhara mengi kama bia.
DSC_0406.JPG
 
Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako..... Ila kama 2 fresh tu zinaongeza damu😂😂😂
 
Fanya kitu roho inapenda. Ukibana sana haisaidii, kwa vile kufa ni lazima, mwaka X plus or minus miaka michache.
 
Back
Top Bottom