Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini.

Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho.

Bora kwa sasa tuendelee kulumbana na huyu mwehu Putin, kiaina tumemzoea na hatujaona jipya kwake zaidi ya matamko na mikwara..... Hatutaki chizi anayeweza kuamka siku moja na kuamua kubonyeza vitufe vya manyuklia na kujitoa mhanga.....

==================

Prigozhin’s political power rests on Wagner – with no other Russian politician commanding such military force – and his massive fortune was "accrued protecting weak African regimes in exchange for their gold mines", points out Beissinger, though he doubted the mercenary would ever take Putin on directly.

Buoyed by alleged successes in Ukraine, Prigozhin has certainly created a storm within Russian politics.

He has picked fights with the governor of St. Petersburg and attacked the military establishment over their campaign against Kyiv – something that has landed many other Russians in prison.

In March, he openly defied the Kremlin’s narrative that it was fighting Nazis in Ukraine, a false argument it has used repeatedly to justify the invasion, and over the weekend seemingly called on the fighting to stop.

“Prigozhin is... someone who can figure out ways to work the system, but always to some extent on the edge of that system, on the boundaries of what is acceptable, and pushing those boundaries,” Beissinger said.

“He does not identify with the oligarchic elite but is an outsider to it, as wealthy as he now is.”
 
Umebadili gia angali Mr Kukurupuka?

Wala sijabadili, ni ile sitaki lijihadi hapo kwa hizo silaha za nyuklia, tuendelee kumnyuka Putin ila bila kuingia kwenye uchizi wa kuhatarisha dunia.
Mojawapo wa sababu kwanini Iran huzuiwa kumiliki hizi silaha ni hili suala la majihad kujihami kwa manyuklia.
 
Akili yako wewe ulikuwa. na ndoto kabisa kuwa huyo jamaa angetoboa hadi Moscow na msafara wake?
 
Vyenye mlisema hatufiki mbali hapa ni wapi?
1687669362666.png
 
Akili yako wewe ulikuwa. na ndoto kabisa kuwa huyo jamaa angetoboa hadi Moscow na msafara wake?

Kama mngetaka kuona Urusi ikisambaratika basi angeachiwa aendelee, mngeanza kusikia matukio kona zote za nchi, mpaka sasa Warusi ndani ya nchi wana hasira sana wanasubiri mwenye ujasiri wa kulianzisha.
 
Hivi wewe una akili ,uliwahi kuona wapi kutokee uasi halafu kusimwagike damu hata ya MTU mmoja hata kwa bahati mbaya.
Eti uteke kambi ya Jeshi halafu kusiwe na kifo hata kimoja.

Hizi zote ni politics tu Putin anazowachezea west.
 
Wala sijabadili, ni ile sitaki lijihadi hapo kwa hizo silaha za nyuklia, tuendelee kumnyuka Putin ila bila kuingia kwenye uchizi wa kuhatarisha dunia.
Mojawapo wa sababu kwanini Iran huzuiwa kumiliki hizi silaha ni hili suala la majihad kujihami kwa manyuklia.
Mpaka sasa,USA ndio ametumia hiyo nyuklia kwa kuzipiga Nagasaki na Hiroshima,au ulikua hujui hilo MrKukurupuka?
 
Mpaka sasa,USA ndio ametumia hiyo nyuklia kwa kuzipiga Nagasaki na Hiroshima,au ulikua hujui hilo MrKukurupuka?

Teknolojia ya hayo madude imeongezeka pakubwa, yaliyomo leo hii yakilipuliwa yaani hiyo ya Hiroshima cha mtoto, hatupaswi kuruhusu mazombi ya kidini au machizi mengine yakaribie hayo madude.
 
Hivi wewe una akili ,uliwahi kuona wapi kutokee uasi halafu kusimwagike damu hata ya MTU mmoja hata kwa bahati mbaya.
Eti uteke kambi ya Jeshi halafu kusiwe na kifo hata kimoja.

Hizi zote ni politics tu Putin anazowachezea west.

Fuatilia taarifa kwa makini acha kusubiri vitu vya kuaminishwa huko vijiweni, Putin amekalishwa, atakua ameshauriwa vizuri na FSB, alianza kubwatuka kwa ubabe...
 
Teknolojia ya hayo madude imeongezeka pakubwa, yaliyomo leo hii yakilipuliwa yaani hiyo ya Hiroshima cha mtoto, hatupaswi kuruhusu mazombi ya kidini au machizi mengine yakaribie hayo madude.
Nilijua tu usingekua na uwezo wa kujibu nilichokuuliza Mr Kukurupuka.
 
Nilijua tu usingekua na uwezo wa kujibu nilichokuuliza Mr Kukurupuka.

Sio lazima ujibiwe utakavyo, jiongeze pale unajibiwa zaidi ya uwezo wako sheikh acha hasira mtume wenu amedharirishwa...
 
Sio lazima ujibiwe utakavyo, jiongeze pale unajibiwa zaidi ya uwezo wako sheikh acha hasira mtume wenu amedharirishwa...
Mr Kukurupuka hujawahi kua na akili hata siku moja,wewe ni kituko cha JF sema hujajishtukia tu.
 
Back
Top Bottom