Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

Your browser is not able to display this video.

Wasikilize wajuvi
 

Upuuzi mtupu!
 
Kwakuongozea hapa mzee nikuwa waasisi wa wamarekani hawakuwa watu wa kawaida akasome historia zakina Lincoln ndio atajua marekani ukiwa kiongozi hata wa mtaa uwezo wa kufikiri ni mkubwa..
 
Ndo mnavodanganya ivyo, na hadithi zenu za kufikirika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nchi inazidiwa na GDP ya California bado unambwelambwela
Unajuwa vitu vingine ni aibu. Tena aibu sana. Hivi KWELI Kwa uchumi wa Russia bado wengine wanaota atakuja kuwa superpower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…