Uchaguzi 2020 Twende na Boniface Jacob katika kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo

chuuma

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
363
Reaction score
557
Leo Tarehe 07/10/2020
Mheshimiwa Boniface Jacob
anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi.

Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja vya Riverside Stand Kutakuwa na Mkutano wa hadhara.

_Ni_
BONIFACE JACOB
Wao wanaposema nitawafanyia hivi yeye anasema nimefanya, nitumeni nizidi kuwatumikia.

NI KIJANA WETU, TUNAMFAHAMU, TUNAMUHITAJI

Nyote Mnakaribishwa

_Afisa Mawasiliano kwa Umma
Manji Kapama
+255 714 180 703
07/10/2020
 
Attachments

  • IMG-20201007-WA0026.jpg
    IMG-20201007-WA0026.jpg
    117.5 KB · Views: 2
Hatuwez kumpa kura huyu, Hili jimbo tuliwapa chadema hakuna mlichofanya , Zaidi Kubenea kakimbia

Je Turudie makosa?

Nipo tayari kumpa Kura Lissu ,lakini ubunge nitampa Kitila mkumbo

Kwa sisi tunaofata Sera ,hatuwezi kulirudisha jimbo kwa Chadema , Tutawaamini vipi kama hamtatuuza tena kama Kubenea.?
 
We jamaa kweli kilaza hilo jimbo toka tunapata uhuru lilikuwa CCM walifanya kipi cha maana ambacho unaweza kukilinganisha na miaka ambayo upinzani imeliongoza?
 
Hatuwez kumpa kura huyu, Hili jimbo tuliwapa chadema hakuna mlichofanya , Zaidi Kubenea kakimbia

Je Turudie makosa?

Nipo tayari kumpa Kura Lissu ,lakini ubunge nitampa Kitila mkumbo

Kwa sisi tunaofata Sera ,hatuwezi kulirudisha jimbo kwa Chadema , Tutawaamini vipi kama hamtatuuza tena kama Kubenea.?
Jacob amekuwa meya wa Ubungo na amefanya kazi nzuri sana. Binafsi namkubali sana kuliko mgombea mwingine wa Dar iwe CCM au upinzani. Wa pili ni Ndugulile
 
Back
Top Bottom