We jamaa kweli kilaza hilo jimbo toka tunapata uhuru lilikuwa CCM walifanya kipi cha maana ambacho unaweza kukilinganisha na miaka ambayo upinzani imeliongoza?Hatuwez kumpa kura huyu, Hili jimbo tuliwapa chadema hakuna mlichofanya , Zaidi Kubenea kakimbia
Je Turudie makosa?
Nipo tayari kumpa Kura Lissu ,lakini ubunge nitampa Kitila mkumbo
Kwa sisi tunaofata Sera ,hatuwezi kulirudisha jimbo kwa Chadema , Tutawaamini vipi kama hamtatuuza tena kama Kubenea.?
Jacob amekuwa meya wa Ubungo na amefanya kazi nzuri sana. Binafsi namkubali sana kuliko mgombea mwingine wa Dar iwe CCM au upinzani. Wa pili ni NdugulileHatuwez kumpa kura huyu, Hili jimbo tuliwapa chadema hakuna mlichofanya , Zaidi Kubenea kakimbia