9.
1. Wafanyakazi wote wa umma hata mashirika binafsi twende na Tundu
2. Wote waliolazimisha kurejesha mkopo wa HSLB 15% badala ya 8% ilokuwepo kwenye mkataba Oct .28 Twende na Tundu Lissu
3. Wafanyakazi wote ambao wakifukuzwa kazi kwa madai ya vyeti fake hawakulipwa pesa zao za mifuko ya hifadhi ya Jamii Oct 28 Twende na Tundu Lissu
4. Wastaafu wote mliostaafu is toka 2016 hamjalipwa kiinua mgongo chenu mpaka sasa Octoba 28 Twende na Tundu Lissu.
5. Watanzania wote walobomolewa nyumba zao bila malipo. Oct 28 twende na Tundu Lissu
6. Watanzania wote wakobambikizwa mikesi ya uhujumu uchumi Oct 28 twende na Tundu Lissu
7. Wakina mama na dada wote ambao wamechoka kudhalilishwa majukwaani. Oct 28 twende na Tundu Lissu.
8. Maras wastaafu wote mlijaribu k
9. Watumishi Umma walio tia Nia kungombea nafasi mbali mbali za kisiasa kupitia CCM na kukata mishahara Yao kwa miezi miwili kurudishwa mishahara Yao yote.
10. Walio kutwa na vyeti fake kulipwa mafao Yao kwa kazi na kubaki makao.
11. Uongozi ngazi za uwaziri kutokuchaguliwa kutokea upande mmoja au mkoa mmoja wa tanzania,mfano Sasa mawaziri 6 wametokea mkoa mmoja wa geita,.
12.Watumishi wa umma kutotumbuliwa ohovyo na kudhalilishwa hadharani .
13. Kuundwa serikali ya utaifa ,ili kuunganisha vyama tofauti na Sasa wapinzani hawana Tena sauti.
14. Watanzania kufungiwa maji na umeme bure na kuendelea kulipia bill zao za kila mwezi
15. Ajira kwa vijana ni kipaumbele kwa vijana kwa asilimia 100%
16 . Kuundwa na kuifumua upya TRA.
17. Ujenzi ,kumalizia miundombinu yote iliyopo,ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami kutoka karatu, kupitia Serengeti ,mugumu Hadi tarime, nyingine Ni mererani,simanjiro,kiteto Hadi dodoma, nyingine Ni geita nyarugusu Hadi Kahama,nyingine Ni kahama ,bulhyankulu msasi Hadi mwanza, nyingine Ni katoro Hadi ushirombo, nyingine Ni nzera hadi sengerema, nyingine Ni geita mjini,kwenda Kamwanga nyingine Ni karatu ,ziwa eyasi kwenda bariadi. Nyingine Ni kahama kwenda mwanza bila kupitia tinde.na nyingine nyingi ili kuunganisha nchi.
18. Wakuu wa Wilaya na mikoa kuteuliwa na wananchi. Kuwepo kwa katiba mpya.