Twendeni Mbele na Kurudi nyuma hili la Zahera Limetikisa Dunia nzima

Twendeni Mbele na Kurudi nyuma hili la Zahera Limetikisa Dunia nzima

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nyie Yanga mnasema Daima mbele nyuma mwiko.dante mlimfanyia hivyo kuwa tayari mmeshasonga mbele hamumlipi pesa zake..

Yote Tisa Zahera alipwe.

1. Pesa zake za ufadhili
2. Pesa zake za usemaji wa team
3. Pesa zake za Ukocha
4. Pesa zake za kuleta wachezaji wake

ZAHERA ALIPWE PESA ZAKE. YANGA SASA INAONEKANA NI TEAM YA MAZULIMATI,MAJAMBAZI NA MATAPELI.MMESHAKULA SANA PESA ZA WANANCHI LIPENI.

HASHTAG
#ZAHERA ALIPWE PESA ZAKE*
 
MAJIZI,MADHULUMATI,MAJAMBAWAZI,MATAPELI MAKUBWA NYIE.MPENI PESA ZAKE.MSITAKE KUMZIMA KAMA DANTE.HUYU ANAJITAMBUA HATOKUBALI KUDHULIMIWA...MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE KAMA MLIVYOFANYA KWA DANTE.MAJIZI MAKUBWA NYIE.VYURA, PILIPILI HOHO,MATIKITIK NA MAJIZI MAKUBWA.

Yeye ndo kadai alipwe au wewe ndo unasema?
Unaweza kuthibitisha hayo madai yake?
 
MAJIZI,MADHULUMATI,MAJAMBAWAZI,MATAPELI MAKUBWA NYIE.MPENI PESA ZAKE.MSITAKE KUMZIMA KAMA DANTE.HUYU ANAJITAMBUA HATOKUBALI KUDHULIMIWA...MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE KAMA MLIVYOFANYA KWA DANTE.MAJIZI MAKUBWA NYIE.VYURA, PILIPILI HOHO,MATIKITIK NA MAJIZI MAKUBWA.
Hizi tuhuma unazotoa unaweza kuzithibitisha?
 
Mtoa mada umepaniki sana! Sijui umelipwa dola ngapi na huyo mbabaishaji wako!! Ila ukumbuke tu mwisho wa siku, Mwinyi Zahera is no longer a Young Africans sc Coach! He is fired, as a result of his incompetence! in and outside the pitch.

Tutamkumbuka sana kwa kutuvalia muda wote, vile vikaptula vyake vya POLO!
 
Mwinyi zahera akihojiwa na EFM leo mda mfupi uliopita akieleza mgogoro wa kufukuzwa umetokana na yeye kukataa kuchaguliwa kocha Msaidizi kwani hakumtaka Mkwasa na aliomba amchague msaidizi wake yeye mwenyewe lakini hilo limekua gumu kwa uongozi wake hali iliyopelekea kufukuzwa.

Vilevile Zahera ameeleza kuwa mashabiki wa Yanga wanadhani timu yao ina hela kwa sasa bila kutambua kilichopo nyuma ya pazia na akaamua kufunguka wazi juu ya hali halisi.

Akisimulia safari ya Gaborone Kuelekea mchezo dhidi ya Township Rollers Zahera anadai timu ilishindwa kukodi Bus la kuwapeleka wachezaji kutoka Johannesburg mpaka Botswana ambapo licha ya viongozi kufika siku mbili kabla lakini walishindwa kushughulikia hilo hali iliyopelekea kufuatwa na Bus la timu pinzani kitu ambacho si cha kawaida kutokea ulimwenguni.

Zahera anaeleza hali hiyo iliwachukiza Wachezaji wake kuwa haijawahi kutokea na walipofika Hotelini aliwaeleza viongozi nao wakajibu timu haina Pesa hivyo kufikia hatua ya kujitolea Kias cha Dollar 2000sawa na Tsh. Milioni 4 siku ya pili yake kwajili ya kukodi Bus litakalowapeleka mazoezini.

Wakiwa njiani kuelekea Gaborone wachezaji walikuwa wakihisi njaa viongozi wakasema hawana chochote Hali iliyopelekea Zahera kuwalipia Wachezaji Wote Chakula kitu kilichomfanya mmoja wa Kiongozi wa TFF aliyesindikiza msafara kumnong'oneza mmoja wa Wachezaji kuwa Mna bahati ya kupata Kocha.

Zahera anaeleza kuwa aliendelea kulipa hela Zake hata walipofika jijini Ndola Zambia aliendelea kuwalipia Gharama za Uwanja wa Mazoezi Dollar 200 kwa siku mbili huku akiendelea kulipia Chakula Wachezaji wake baada ya viongozi Kutaka kuwalisha wachezaji Mlo mmoja kwa siku wakiwa Zambia yaani wale saa 11 jioni tu bila chakula usiku(Pasi ndefu).

.....................MWANZA..................

Zahera anaendelea kusema kuwa Wakiwa Jijini Mwanza kujiandaa na mchezo dhidi ya #Pyramid_Fc Timu ilifikia katika hoteli ya hadhi ya chini huku huduma zake ikiwemo chakula kuwa za hali ya chini zaidi hali iliyopelekea kuomba namba ya Boss wa GSM kwa meneja Hafidhi na kumpigia Simu kumueleza hali halisi na kuomba msaada na bila shaka Boss huyo alisaidia Timu kuhamishiwa hoteli nyingine na huduma zikaboreshwa.

Lakini baada ya mchezo huo wachezaji wakiwa ndani ya Gari pamoja na benchi la ufundi walizuiwa kuondoka kwa madai timu ilikuwa ikidaiwa vinywaji kiasi cha Dollar 500 alipoombwa na Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela.

.......................Kuhusu Usajili................

Zahera anaeleza Wachezaji aliowasajili kwa mapendekezo yake ni sita tu wakiwemo Sadney,Balinya,Bigirimana,Sibomana,Kalengo na mwisho ni Molinga huku akiikopesha pesa Klabu kumsajili #Faroukh_Shikalo.

...........Kuingiliwa Majukumu.........

Zahera anaweka wazi kuwa ilikuwa ni bora kufanya kazi na uongozi uliopita kwakuwa ulikuwa hauingilii majukumu yake ya kiufundi tofauti na uongozi wa mwenyekiti Mshindo Msollah kuwa kwakuwa ana taaluma ya ukocha amekuwa akiwachanganya wachezaji kwa kuwapa mbinu zilizo nje ya anayofundisha huku akitolea mfano mechi dhidi ya Lipuli Iringa walipopoteza kwa magoli mawili mwenyekiti aliingia vyumbani na kuanza kuelekeza mbinu tofauti na alizofundisha hali iliyopelekea Wachezaji kuulizana.

Kuhusu swala la Dante Zahera anadai Dante yuko sahihi kwani kabla ya kwenda AFCON aliuambia uongozi kuhakikisha unamalizana na wachezaji waliopo kabla ya kuleta wengine hivyo Dante angekuwa na kosa angemfanyia kama alivyofanya kwa Kakolanya.

mlipe wewe kama unampenda sana
 
Mlipeni asepe.... Acheni uzulumati,ujambazi na utapeli.mpeni pesa zake mutu ya congo aende kwa amani.msituchafulie jina la nchi ikaonekana watanzania wote ni matapeli na mazulumati.

Mtoa mada umepaniki sana! Sijui umelipwa dola ngapi na huyo mbabaishaji wako!! Ila ukumbuke tu mwisho wa siku, Mwinyi Zahera is no longer a Young Africans sc Coach! He is fired, as a result of his incompetence! in and outside the pitch.

Tutamkumbuka sana kwa kutuvalia muda wote, vile vikaptula vyake vya POLO!
 
Nyie Yanga mnasema Daima mbele nyuma mwiko.dante mlimfanyia hivyo kuwa tayari mmeshasonga mbele hamumlipi pesa zake..

Yote Tisa Zahera alipwe.

1. Pesa zake za ufadhili
2. Pesa zake za usemaji wa team
3. Pesa zake za Ukocha
4. Pesa zake za kuleta wachezaji wake

ZAHERA ALIPWE PESA ZAKE. YANGA SASA INAONEKANA NI TEAM YA MAZULIMATI,MAJAMBAZI NA MATAPELI.MMESHAKULA SANA PESA ZA WANANCHI LIPENI.

HASHTAG
#ZAHERA ALIPWE PESA ZAKE*
Chizi
 
Nipo hapa Mkanyageni sijasikiaa mtikisiko wowote wa dunia mpaka sasa
 
Back
Top Bottom