Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake amevuruga sana soka la Tanzania, na anatuhumiwa kwa upendeleo na ameshindwa kusimamia fedha za TFF mpaka timu kadhaa mpaka sasa wanaidai TFF malipo yao. Rais wa sasa hafai na asichaguliwe katika nafasi ya Rais wa TFF.
Ledger Chila Tenga alikua anacheza boxing yule.Afu kwann TFF haijawah kuongozaa na wachezaji wa mpira wa zamani.?!
Sawa sawa…Ledger Chila Tenga alikua anacheza boxing yule.
Naona mnajisahaulisha ..Ally Mayay alishindwa kwa kura nyingi uchaguzi uliofanyika Dodoma👇👇Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake amevuruga sana soka la Tanzania, na anatuhumiwa kwa upendeleo na ameshindwa kusimamia fedha za TFF mpaka timu kadhaa mpaka sasa wanaidai TFF malipo yao. Rais wa sasa hafai na asichaguliwe katika nafasi ya Rais wa TFF.
SijaelewaMfanyakazi wa sehemu nyeti unapeleka kwenye mpira hatari sana
TangaHuu uchaguzi unafanyika mkoa gani? kwanini? ukimaliza kujibu utakuwa umepata jibu kuu. Kwa njaa za wajumbe, Ally hana uwezo wa kushinda.
Eto'o ni rais wa fecafoo ambayo ni TFF ya kule cameroon.Afu kwann TFF haijawah kuongozaa na wachezaji wa mpira wa zamani.?!
Hiyo ni project ya Serikali. Nikukumbushe tuu Ndolanga alikuwa na nguvu kuliko kiongozi yeyote wa FAT na TFF ya sasa lakini pale Serikali ilipomchoka alitoka kwa kura hata baada ya kununua wajumbe wote.Huu uchaguzi unafanyika mkoa gani? kwanini? ukimaliza kujibu utakuwa umepata jibu kuu. Kwa njaa za wajumbe, Ally hana uwezo wa kushinda.
Hata Ndolanga alifanya hivyo hivyo,Serikali ikawapa kazi maalumu wakuu wa mikoa na wilaya kufanya kazi yake,mwisho Ndolanga alipigwa chini kwa kura za wazi kabisa.WELLS CARRY-A ameshahonga wajumbe kila mkoa ili wamu endorse na amewapiga mkwara wasije wakafanya endorsement kwa mgombea mwingine
Huu uchaguzi wanaenda kumuidhinisha tu sidhani kama atapata mchuano mkali sana JAPO BINAFSI NAHITAJI MABADILIKO PALE TFF
Sioni kama Karia amefikia hatua ya kuchukiwa kama ilivyokuwa kwa Ndolanga ambaye alikutwa na kesi kadhaa za ufisadi, BMT wakamshindwa, ndipo ikabidi sasa itumike nguvu.Hata Ndolanga alifanya hivyo hivyo,Serikali ikawapa kazi maalumu wakuu wa mikoa na wilaya kufanya kazi yake,mwisho Ndolanga alipigwa chini kwa kura za wazi kabisa.