Twenzetu kwa Mkapa tukaishangilie Taifa stars

Tanzania win
Mimi, baada ya kuitwa kwa Tshabalala na Kapombe waliozoea kucheza kimazoea, nawapa nafasi Uganda. Kiukweli, timu yetu inahitaji mabadiliko ya kikosi kama yale yaliyofanyika kule Misri. Kuwapanga 'mafather' watupu kutaipa ugumu sana Stars hii leo. Kikosi kikibadilika kama vile, Stars anashinda!
 
Sijui kwanini wanashindwa kuheshim maamuzi ya kocha, ngoja tuone leo itakuaje ni bora waanzie benchi
 
Yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…