Twerk and Selfie added to Oxford English Dictionary

Twerk and Selfie added to Oxford English Dictionary

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Natamani na sisi tungekuwa na taasisi iliyo makini katika ukuzaji wa Kiswahili.

Yaani baada ya Miley Cyrus kukata viuno kwenye VMAs na neno 'twerk' kuwa katika midomo ya karibu media zote jamaa wameona ni muda muafaka sasa kuliingiza rasmi hilo neno kwenye kamusi.

Twerking, the raunchy dance move performed by Miley Cyrus at the MTV VMAs is among the new words added to the Oxford Dictionary of English.
Oxford Dictionaries Online said the word, borrowed from hip hop culture, had become increasingly visible in the past 12 months.
Other words such as omnishambles and selfie also made their debut in the dictionary's quarterly online update.

Source

Hii ndo Twerk Team youtube sensation iliyoanza 2009 kabla haijaingia mainstream na Miley akiwa bado Hannah Montana



Cc: EMT Kiranga
 
Last edited by a moderator:
This word has been around for quite some time.

Remember the 1995's track by Cheeky Blakk called Twerk Something?

Wikipedia claims that "In 1993, DJ Jubilee recorded the dance tune "Do The Jubilee All" in which he chanted, "Twerk baby, twerk baby, twerk, twerk, twerk." The video for the song increased the popularity of twerking. In 1995 New Orleans-based rapper Cheeky Blakk recorded the song "Twerk Something!" a call-and-response dance song dedicated to twerking. In 1997 DJ Jubilee recorded "Get Ready, Ready" in which he encouraged listeners to "Twerk it!"." Twerking - Wikipedia, the free encyclopedia

On the material night, these were left shocked.

article-2402027-1B76FEF0000005DC-3_634x423.jpg
 
Nyani Ngabu,

Oxford University ni wachapaji wa kamusi tu. Si taasisi maalum ya kuendeleza lugha. Kiingereza, unlike Kifaransa, hakina taasisi kama hii.

Kwa hiyo hata wewe unaweza kuungana na jamaa wa UDSM pale mkachapa kamusi yenye maneno mapya, tuweze kusema "worm hole" "quantum" na "twerking" kwa kiswahili.

By the way nakumbuka kuona twerking Dar waaay back, ukianzia kwa wanenguaji wa bendi, ila sijui hata kama ina jina katika Kiswahili.


EMT
, kuna sehemu nimesoma hiyo picha ya Will Smith haijachukuliwa wakati wa twerking, ni waandishi tu wameiunganisha kwa sababu inanogesha habari.

Slate wameandika habari hii hapa http://www.slate.com/blogs/browbeat..._to_miley_cyrus_at_the_vmas_no_that_wasn.html
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom