Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar

Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar

Wafujo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
451
Reaction score
1,006
Kwa kilichojiri hivi punde katika michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake. Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar.

Wafungaji wakiwa;
Opah Clement (magoli 4),
Mwanahamisi Omary "Gaucho"( Magoli 3),
Janeth Pangamwene (Goli 1),
Diana Msewa (Goli 1),
Enekia Lunyamila (Goli 1),
Protas Mbunda (Goli 1),
Ester Mabunza (Goli 1).

Twiga Stars imefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano hiyo ikiwa inaongoza kundi lao.

NB: Kesho magazetini hicho ndo kitakua kichwa cha habari katika gazeti la michezo (Time travelling).

View attachment 2252468
 
Wamewaonea, wao hawakulelewa kugangamala ila kulea mwanaume na kuzaa, mwakilishi wao mwenyewe alilalamika kuwa mbona wako hivyo lakini!
Ilitakiwa wasipeleke timu sasa
 
Bora hata wasingeshiriki! Goli 12!!! Au kama vipi wakati mwingine tuwapunguzie wachezaji wetu.

Maana tayari ni wategemezi wetu katika mambo mengi.
 
Ilitakiwa wasipeleke timu sasa
Tuko kwenye harakati za kutafuta kiti UN, tunaaaaanzia mbaaaaaaali, ila tumeanza kuona kama miali kwa mbaaaaaali, kwa yaliyopo sasa, kuna jitu tunaenda kuliweka kwapani na kupindua meza.

mdogo mdogo
 
Wagawane magoli na nyongeza moja
 
Ona sasa ndo mana Zenj sisi wabara atuuziwi viwanja huwa tunawafanya vibaya sana wakina aammi J.
 
Ni netball au[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kilichojiri hivi punde katika michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake. Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar.

Wafungaji wakiwa;
Opah Clement (magoli 4),
Mwanahamisi Omary "Gaucho"( Magoli 3),
Janeth Pangamwene (Goli 1),
Diana Msewa (Goli 1),
Enekia Lunyamila (Goli 1),
Protas Mbunda (Goli 1),
Ester Mabunza (Goli 1).

Twiga Stars imefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano hiyo ikiwa inaongoza kundi lao.

NB: Kesho magazetini hicho ndo kitakua kichwa cha habari katika gazeti la michezo (Time travelling).

View attachment 2252468
Enekia Lunyamila ni mtoto wa Edibily Lunyamila au ?
 
Hao mabinti wameamua kujichukulia sheria mkononi na kuvunja muungano
 
Back
Top Bottom