Hakika vijana wamenikosha sana.View attachment 1969457
View attachment 1969448
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la Tanzania lilifungwa na Enekia dakika ya 64.
Mechi hiyo ilipigqwa katika dimba la Nelson Mandela huko Afrika Kusini
Nahodha wa Twiga Stars, Amina Billal ametangazwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo
Yani kama unabet kwa bongo hapa, bora uwape hawa kuliko Taifa starsWale wa taifa stars sasa, wanaendelea kuzingua tu
Yaapp....hawajaambulia kitu..hata nafasi ya 3 wameikosaWale Banyana Banyana nao walishiriki kombe hili?
Kuna mwingine anacheza kavaa shungi9 October 2021
Tanzania wins the 2021 COSAFA Women's Cup title by beating Malawi 1-0 in the final of the competition.
Source : Zambian soccer updates
Hawa ndiyo wawakilishi wetu Kimataifa, wanafanya vizuri na kulitangaza jina na kupeperusha bendera yetu ngazi za juu kimataifa.
Michezo ni sehemu ya diplomasia ya kuitangaza nchi ulimwenguni iwe Olympics CECAFA COSAFA CAF FIFA , WORLD CHAMPIONSHIP n.k na Michezo ni kutangaza utalii, nafasi za ajira ya mchezaji wa kulipwa, Michezo ni afya na michezo ni siasa.
Hongera timu ya Twiga Stars .
wewe unacheza namba ngapi?Yes!!! Wanawake tunaweza
Mpenzi mtazamajiwewe unacheza namba ngapi?
uvumbue vipaji 😁P
ohoo haya sawa .....siongezi neno nitaharibu bure.Mpenzi mtazamaji