Twiga weupe wa kipekee wauawa na majangili nchini Kenya

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Watunzaji wanyamapori nchini Kenya wameeleza kuwa Twiga wawili weupe jike na ndama wake wameuawa na Majangili siku ya Jumanne maeneo ya Gerrisa yaliyopo Mashariki mwa Kenya.

Inaelezwa kuwa kutokana na twiga hao wa kipekee kuuawa imepelekea kubakia kwa twiga mweupe mmoja tu aliye hai duniani.

Aidha bwana Mohammed Ahmednoor, alisema kuwa "Uuaji wa twiga hao ni pigo zinazosababisha kupotea kwa jamii hiyo adimu na ya kipekee ya twiga hivyo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kusaidia katika kulinda wanyama wa aina hiyo.

ZAIDI SOMA
Nairobi (AFP) - Kenya's only female white giraffe and her calf have been killed by poachers, conservationists said Tuesday, in a major blow for the rare animals found nowhere else in the world.

The bodies of the two giraffes were found "in a skeletal state after being killed by armed poachers" in Garissa in eastern Kenya, the Ishaqbini Hirola Community Conservancy said in a statement.

Their deaths leave just one remaining white giraffe alive -- a lone male, borne by the same slaughtered female, the conservancy said.

"We are the only community in the world who are custodians of the white giraffe," Mohammed Ahmednoor said, the manager of the conservancy.

"Its killing is a blow to tremendous steps taken by the community to conserve rare and unique species, and a wakeup call for continued support to conservation efforts."

The white giraffe stirred huge interest in 2017 when she was first spotted on the conservancy and again when she birthed two calves, the latest in August last year.

Their alabaster colour is caused not by albinism but a condition known as leucism, which means they continue to produce dark pigment in their soft tissue, giving them dark eyes.

Ahmednoor said their deaths, confirmed by rangers and community members, was a "sad day" and a major loss for researchers and tourism providers working in the remote corner of Kenya.
 
Hii nchi hii, du!

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
Hii nchi hii, du!

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
hawa twiga ni genetically modified au? sijawahi ona wakioneshwa au kutangazwa sehemu yoyote
 
Wakenya wapumbavuuu sana sasa hao twiga kwanini mamlaka zisiwafuge kwenye zoo maharumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Binafsi mimi nina huzuni kusikia bado kuna viumbe viko mbioni kupotea duniani kama vile ambavyo dunia imekwisha kupoteza viumbe wengine zamani.

Maisha ya Twiga kwa ujumla yapo hatarini. Kwa ambaye basi hamfahamu Twiga, Twiga ndiye mnyama mrefu kuliko wote duniani. Miguu yake tu yenyewe ni ya urefu wa futi sita. Twiga wana speed ya 56km per hour.

Siku hizi Twiga ni wanyama walio hatarini na wapo kwenye red list tangu 2016. Kulingana na IUCN, population ya Twiga tangu 1985 inazidi kupungua kwa zaidi ya asilimia 40.

Kwa sasa kuna Twiga 8,660 tu duniani. 450+ of them wanafugwa kwenye Zoos.

Twiga weupe ndio adimu kabisa. Weupe wao unatokana na leucism, na hii ni kutokana na genetic condition.

Hivi karibuni majangili waliua Twiga wawili weupe Kenya na akabaki mmoja tu duniani aliye hai hadi sasa.

Twiga waliouawa alikuwa mama na mtoto wake wa miezi saba. Twiga aliyebaki hai ni mama pia, ndiye aliyebaki duniani. Inahuzunisha sana.

View attachment.

Haiwezekani kuwazalisha wanyama waliokwisha potea? (Nguvu ya sayansi haishindwi?)
 
Sasa hao Majangili kwa mfano hao Twiga wamewala nyama au wamewatoa Pembe?Si bora wangeua Ngiri.
 
Unatisha kwa kutafsiri c&p

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…