CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
charminglady1 kwa wanaume inawezekana kama ingekuwa ngumu wasingekuwa wanatembea na wanawake lukuki lukuki,na kama siku hizi mama anaweza tembea na mtu same time na mtoto wake hivyo inawezekana,da huyo jamaa anaffaidi kwelikweli da .hili Mtambuzi atalifafanua vizuri pamoja na gfsonwin na Kaunga na HorsePower hawa ni wataalamu wa siku nyingi wa haya mambo njooni huku!!!!!!!!!!!!!!!! ila SnowBall atasema yeye atakuwa wamwisho kuamini Tuko na POMPO watasema hii safi sana subiri waje ila cacico atasikitika sababu ujumbe umemwelemea sana nautamgusa kabisa ila ruttashobolwa atasema yeye anajificha pembeni kidogo anaangalia wanaokuja
hali zenu wana MMU, mapacha wawili wajulikanao kama grace & gracious wameolewa na mume 1 aitwaye Kaundula nchini Zambia.
kwenu wanajamvi je hili suala mnalichukuliaje? je wewe kama ni twin unameza kukubali wewe na twin wako muolewe na mume mmoja? pia wewe kama mzazi wa twins (refer. cacico) unaweza kukubali twins wako wakaolewa na mume mmoja. na wewe kama mwanaume unaweza kuwaoa twins 2 kwa pamoja? karibuni kwa mjadala. . . .
source. DAILY NEWS - AUG 7
telitaibi may b kwa vile twins ni wachache lakin km wangekuwa ni weng wangeweza kuandamana wahalalishiwe!
Amsterdam kwa hili naweza kusema linawezekana.
Miaka fulani pale Musoma maeneo ya Nyamatare mtu mmoja aliwaoa twins..
Bahati mbaya that time i was a young guy..hivyo sikuweza fuatilia..but at least this i believe..
ukifuatilia zaid biology identical twins alitakiwa kua mtu mmoja.hali zenu wana MMU, mapacha wawili wajulikanao kama grace & gracious wameolewa na mume 1 aitwaye Kaundula nchini Zambia.
kwenu wanajamvi je hili suala mnalichukuliaje? je wewe kama ni twin unameza kukubali wewe na twin wako muolewe na mume mmoja? pia wewe kama mzazi wa twins (refer. cacico) unaweza kukubali twins wako wakaolewa na mume mmoja. na wewe kama mwanaume unaweza kuwaoa twins 2 kwa pamoja? karibuni kwa mjadala. . . .
source. DAILY NEWS - AUG 7
hao identical twins kuna wakiume pia.... nao ni right kuoa mtu mmoja? maana wao pia wanafanana kama wakikeukifuatilia zaid biology identical twins alitakiwa kua mtu mmoja.
kwa maana rahisi ni kua huwa watu wawili ambao wamefanana kwa asilimia nyingi kuliko
wanavyikua wametofautiana. hii ni kimwili, kiakili na hata kihisia.
kwa mana hiyo basi, ni rahisi kwa watu haw kua na interpretation zinazofafanan on phenomenas,
kuwaza/kua na akili kwa namna moja, kupenda/kuchukia vitu sawa, etc in short KUFANANA SANA kwa kila jambo.
so hata inapofikia kuolewa si ajabu wakatafsiri kuana mme mmoja kua jambo la kawaida na la faida sana kwao.
Identical twins wana upendo kwa wenzao, ambao unaokaribia ule wa nafsi zao.(wanavyojipenda wao)