ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,355
- 4,260
Nawasalimia wandugu,
Kuna hii social network inayojulikana kwa jina la twitter naona inapoteza mvuto kila leo,
Miaka ya nyuma mtandao huu ulitumiwa kikamilifu na watu wakamilifu wakiwamo wana siasa utakuta akitweet ni kama shule hivi, na tweet yake inaweza kopiwa na kuwekwa kwingine mfano fb.
Nilikua naenjoi sana nikiingiwa twitter najua naenda ambulia mawili matatu na kutanua ubongo.
Hali imebadiliki kwa sasa kila nikiingia sekunde si nyingi natoka yaani mambo ninayokutana nayo humo hakuna zaidi ya kuhamasishana ngono, yaani tweet zimejaa scene za sex sex tuu na umbea umbea, utaona mtu anaandika watoto wamelala thread
Yaani ukiwa public huwezi hata ku scroll down, utaumbuka tu kama sio mapicha ya ajabu ajabu ama tweet za ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kuna wale wengine utakuta yeye ni me ila anajinasibu kua ke sijui ili kupata nini kwa mfano. Yaani siielewielewi twitter siku hizi bora hata JF.