Twitter yafikiria kuweka kitufe cha kuhariri(editing)

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Mtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet

Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na tajiri mamba moja duniani wa paper assets Elon Musk ambaye pia ndiye mmiliki mkubwa wa hisa za kampuni ya Twitter
 
Jambo jema hii watakua wamekopi kutoka JamiiForums na sisi tunawaomba JF wakopi uwezo wa kufuta thread yako kama ambavyo inawezekana kule Twitter.
 
Sijajua kwanini jf hawaweki hii. Thread niipandishe mimi kufuta nisiweze
 
JF wapo sahihi kwa upande mwingine kutoweka uwezo wa member kuedit thread na hata kufuta kabisa.
Hii ni sababu leo unaweza andika uzi wenye maana fulani ila kwa sababu ya baadhi ya Members kutoa negative review unaweza chukua maamuzi ya kuedit thread kisha kuedit Mada husika na uzi kutokuwa na maana ya Awali.
Hivyo hivyo mtu akipokea maoni hasi anaweza futa uzi.

Sababu nyingine ya kutoweka option hiyo leo hii unaweza soma uzi fulani ukaupenda baada ya siku kadhaa unarudi kuutafuta huuoni kumbe mwenye uzi kabadili Tittle hivyo italeta mkanganyiko.

Karibuni,
 
Kuedit thread unaweza ila kuna kuna muda ukiedit wao wanairudsha kama ilivyokuwa awali
 
Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).

Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit.

Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao walisahau wakatoa permission ya kuedit thread.
 
Mimi sio premium member lakini uwa naedit thread zangu. Kitu ambacho siwezi edit ni title la thread. Uwa kuna muda naweza rudu kwenye thread nikafuta kila kitu mode baadae wakarudisha.
 
Anha Mada katika uzi member yeyote anaandika ila nilikuwa naongelea Tittle hiyo ndio huwezi edit.

Hivyo tupo pamoja sema hatukuelewana Awali.
 
Mtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet

Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na tajiri mamba moja duniani wa paper assets Elon Musk ambaye pia ndiye mmiliki mkubwa wa hisa za kampuni ya Twitter
Hivi kulikuwaga na status kule

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).

Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit.

Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao walisahau wakatoa permission ya kuedit thread.
It's good for the platform kua wanapata contents za kutosha ila kwa mtumiaji sio muda wote ni nzuri. Kuna muda users wanakua bullied sababu ya uzi aliouweka ... ni lazima tuweze kuangalia mental health ya mtumiaji kama kuna uzi umeupandisha ni vyema pia ukawa na uwezo wa kuufuta pia.
 
Back
Top Bottom