Sijajua kwanini jf hawaweki hii. Thread niipandishe mimi kufuta nisiwezeJambo jema hii watakua wamekopi kutoka JamiiForums na sisi tunawaomba JF wakopi uwezo wa kufuta thread yako kama ambavyo inawezekana kule Twitter.
Sijajua kwanini jf hawaweki hii. Thread niipandishe mimi kufuta nisiweze
JF wapo sahihi kwa upande mwingine kutoweka uwezo wa member kuedit thread na hata kufuta kabisa.Jambo jema hii watakua wamekopi kutoka JamiiForums na sisi tunawaomba JF wakopi uwezo wa kufuta thread yako kama ambavyo inawezekana kule Twitter.
Kuedit thread unaweza ila kuna kuna muda ukiedit wao wanairudsha kama ilivyokuwa awaliJF wapo sahihi kwa upande mwingine kutoweka uwezo wa member kuedit thread na hata kufuta kabisa.
Hii ni sababu leo unaweza andika uzi wenye maana fulani ila kwa sababu ya baadhi ya Members kutoa negative review unaweza chukua maamuzi ya kuedit thread kisha kuedit Mada husika na uzi kutokuwa na maana ya Awali.
Hivyo hivyo mtu akipokea maoni hasi anaweza futa uzi.
Sababu nyingine ya kutoweka option hiyo leo hii unaweza soma uzi fulani ukaupenda baada ya siku kadhaa unarudi kuutafuta huuoni kumbe mwenye uzi kabadili Tittle hivyo italeta mkanganyiko.
Karibuni,
Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).Kuedit thread unaweza ila kuna kuna muda ukiedit wao wanairudsha kama ilivyokuwa awali
Mimi sio premium member lakini uwa naedit thread zangu. Kitu ambacho siwezi edit ni title la thread. Uwa kuna muda naweza rudu kwenye thread nikafuta kila kitu mode baadae wakarudisha.Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).
Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit.
Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao walisahau wakatoa permission ya kuedit thread.
Anha Mada katika uzi member yeyote anaandika ila nilikuwa naongelea Tittle hiyo ndio huwezi edit.Mimi sio premium member lakini uwa naedit thread zangu. Kitu ambacho siwezi edit ni title la thread. Uwa kuna muda naweza rudu kwenye thread nikafuta kila kitu mode baadae wakarudisha.
Poa mkuu hapo nimekuelewa.Anha Mada katika uzi member yeyote anaandika ila nilikuwa naongelea Tittle hiyo ndio huwezi edit.
Hivyo tupo pamoja sema hatukuelewana Awali.
Hivi kulikuwaga na status kuleMtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet
Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na tajiri mamba moja duniani wa paper assets Elon Musk ambaye pia ndiye mmiliki mkubwa wa hisa za kampuni ya Twitter
It's good for the platform kua wanapata contents za kutosha ila kwa mtumiaji sio muda wote ni nzuri. Kuna muda users wanakua bullied sababu ya uzi aliouweka ... ni lazima tuweze kuangalia mental health ya mtumiaji kama kuna uzi umeupandisha ni vyema pia ukawa na uwezo wa kuufuta pia.Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).
Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit.
Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao walisahau wakatoa permission ya kuedit thread.